2543; Zima Washa.

By | December 17, 2021
2543; Zima Washa. Kifaa chochote cha kielektroniki kikikusumbua, kabla hujapeleka kwa fundi, huwa unashauriwa kufanya kitu kimoja, kukizima kisha kukiwasha (restart). Iwe ni siku, redio, tv, kompyuta na vinginevyo, zoezi la kuzima na kuwasha huwa linatatua sehemu kubwa ya matatizo. Mara nyingi vifaa hivyo hukaa sawa baada ya kuzima na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz