MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (47/366); Jifunze na kufanya kwa
#SheriaYaLeo (47/366); Jifunze na kufanya kwa kina. Watu wengi huwa wanajifunza na kufanya vitu kwa juu juu. Huwa wanataka yale maeneo ya kufurahisha na kusisimua. Lakini hivyo sivyo ubobezi unavyojengwa. Ubobezi unajengwa kwa kujifunza na kufanya kwa kina. Kujifunza na kufanya kwa kurudia rudia yale ya kawaida na yanayochosha. Hayo