2545; Kuwa fursa inayotafutwa.

By | December 19, 2021
2545; Kuwa fursa inayotafutwa. Kwenye maisha kuna watu wa aina mbili. Aina ya kwanza ni wale ambao kila wakati wanatafuta fursa mpya. Kila wakati kuna kitu kipya wanafanyia kazi. Hawakai kwenye kitu kimoja kwa muda mrefu, kwa sababu wanaposikia kuna kingine kipya na kizuri zaidi, wanaacha walichokuwa wanafanya na kwenda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz