#SheriaYaLeo (49/366); Aina mbili za kushindwa.

By | December 19, 2021
#SheriaYaLeo (49/366); Aina mbili za kushindwa. Kuna aina mbili za kushindwa. Aina ya kwanza ni kushindwa kabla hata ya kuanza. Hapa unahofia kufanya kwa sababu unaona utashindwa au kwa sababu unaona bado muda haujawa sahihi, hujawa na maandalizi ya kutosha. Kwenye aina hii ya kushindwa hakuna chochote unachojifunza. Woga wako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz