#SheriaYaLeo (50/366); Chagua muda.

By | December 20, 2021
#SheriaYaLeo (50/366); Chagua muda. Chochote unachochagua kubobea, unahitaji muda wa kutosha kuweka juhudi ili kuweza kupata matokeo makubwa. Kama una majukumu mengine mengi yanayochukua muda wako mwingi na kukuchosha, itakuwa vigumu kwako kifikia ubobezi unaotaka. Kile unachotaka kubobea kinapaswa kuwa ndiyo kipaumbele kikubwa kwako, hivyo kitengee muda wa kutosha. Yarahisishe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz