MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2548; Kutulia siyo tu kwenye kile unachofanya, bali na kwenye maisha pia.
2548; Kutulia siyo tu kwenye kile unachofanya, bali na kwenye maisha pia. Tumezungumza mara nyingi hapa umuhimu wa kuchagua fursa moja na kutulia nayo kwa muda mrefu ndiyo uweze kupata matunda mazuri. Tunapaswa kuacha kuhangaika na kila fursa mpya, maana huko ni kupoteza nguvu kusiko na tija. Wapo wanaofanya hivyo,