MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2549; Taarifa ya upande mmoja.
2549; Taarifa ya upande mmoja. Pale ambapo kuna jambo linalohusisha pande mbili, kamwe usikubali taarifa ya upande mmoja pekee. Hata kama inashawishi na kuaminika kiasi gani, taarifa yoyote ile haijakamilika kama haina pande zote zinazohusika. Sisi binadamu huwa ni rahisi kuona makosa ya wengine lakini ni wagumu sana kuona makosa