#SheriaYaLeo (53/366); Fyonza Nguvu Yenye Kusudi.

By | December 23, 2021
#SheriaYaLeo (53/366); Fyonza Nguvu Yenye Kusudi. Katika safari yako ya kufikia ubobezi wa hali ya juu na mafanikio makubwa, unapaswa kuzungukwa na watu wenye nguvu ya kusudi na wanaopambana kufikia makubwa pia. Watu unaojihusisha nao, wanavyonza nguvu yako na wewe unafyonza nguvu yao pia. Kama utazungukwa na watu waliokata tamaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz