MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2550; Mtu rahisi kumdanganya.
2550; Mtu rahisi kumdanganya. Mtu rahisi kabisa kumdanganya kwenye maisha yako ni wewe mwenyewe. Unaya ni hutajua wakati unajidanganya, ni mpaka baadaye sana na mambo yakiwa yameshaharibika ndiyo unagundua ulikuwa unajidanganya. Kwanza, kama unataka sana kitu kiwe kweli au kiwe sahihi kwako, hayo ndiyo utakayoona. Kutakuwa na viashiria kama kitu