2552; Mkia wa mbuzi.

By | December 26, 2021
2552; Mkia wa mbuzi. Mkia wa kondoo huwa unazifunika nyeti zake, kwa njia hiyo mkia unakuwa na manufaa kwake. Mkia wa ng’ombe huwa unamwezesha kufukuza inzi kwenye mwili wake, na hivyo kuwa na manufaa kwake. Lakini mkia wa mbuzi, huwa hauna manufaa yoyote, hauwezi kufunika nyeti zake na wala hauwezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz