#SheriaYaLeo (56/366); Endelea kutanua mipaka yako.

By | December 26, 2021
#SheriaYaLeo (56/366); Endelea kutanua mipaka yako. Unapoianza safari ya kujifunza ili kuelekea kwenye ubobezi wa hali ya juu, unakutana na ukweli ambao hukuwa unaujua. Ukweli huo ni safari hiyo ni ngumu na vikwazo ni vingi. Kikwazo kikubwa kabisa kitakuwa ni kupata watu sahihi kujifunza kutoka kwao ili kuweza kufikia ubobezi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz