#SheriaYaLeo (57/366); Toka nje ya mazoea yako.

By | December 27, 2021
#SheriaYaLeo (57/366); Toka nje ya mazoea yako. Kadiri unavyoendelea kujifunza kwa kufanya, utajikuta umejijengea aina fulani ya mazoea ambayo ndiyo unaridhika nayo. Mazoea hayo yanakuwa yametokana na wale ambao unakuwa umejifunza kutoka kwao, maana nao pia wanakuwa wamefikia kilele fulani na kufanya zaidi kwa mazoea. Huwezi kufikia ubobezi wa hali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz