2554; Akili ‘itajiseti’ yenyewe.

By | December 28, 2021
2554; Akili ‘itajiseti’ yenyewe. Akili zetu sisi binadamu zina uwezo mkubwa mno, uwezo ambao hatuwezi hata kuuelewa. Mara nyingi huwa tunafikiria baadhi ya mambo yakitokea basi maisha yetu yatavurugika sana. Labda ni kifo cha mtu wa karibu tunayemtegemea sana. Labda kufukuzwa kazi au biashara zetu kufa. Labda kuhama kutoka eneo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz