2555; Kuvunja mazoea kunahitaji kujali.

By | December 29, 2021
2555; Kuvunja mazoea kunahitaji kujali. Ipo hadithi ya mwanamke ambaye alikuwa anakata mkia wa samaki kabla hajamkaanga. Siku moja mume wake akamuuliza kwa nini anafanya hivyo, akamjibu ndivyo mama yake amekuwa anafanya. Mume akamtaka wampigie simu mama yake kumuuliza. Walifanya hivyo na mama akajibu alikuwa anafanya hivyo kwa sababu ndivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz