MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2559; Kuchimba shimo ili kujiandaa kutokuchimba shimo.
2559; Kuchimba shimo ili kujiandaa kutokuchimba shimo. Fikiria mtu ambaye tayari yupo kwenye shimo, ambaye anataka kuondoka kwenye shimo hilo, ila bado hajawa tayari kuondoka. Hivyo wakati anajiandaa kuondoka kwenye shimo hilo, anakuwa anaendelea kulichimba. Nadhani wewe mwenyewe umeona mkanganyiko uliopo hapo. Iweje mtu anayetaka kutoka kwenye shimo aendelee kulichimba