MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2564; Aina tatu za urafiki.
2564; Aina tatu za urafiki. Ya kwanza ni urafiki wa faida. Huu ni wa nipe nikupe. Unakuwa na urafiki na mtu kwa sababu kuna kitu unataka kutoka kwake. Pale uhitaji unapoisha, urafiki nao unakufa. Huu ni urafiki dhaifu kabisa na ambao huwa haudumu. Ya pili ni urafiki wa raha. Au