2569; Kuadhibiwa na unachokitaka.

By | January 12, 2022
2569; Kuadhibiwa na unachokitaka. Werevu wamewahi kusema ukitaka kumwadhibu mtu, mpe kile anachokitaka, tena kwa namna anavyokitaka. Ni kauli ambayo wengi huwa hawaielewi, ila twende kwenye mifano tuweze kujionea uhalisia wake. Chukua mtu anayecheza bahati nasibu, wote tunajua anataka ushindi. Sasa chukua mtu aliyeshinda bahati nasibu, baada ya muda maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz