#SheriaYaLeo (73/366); Jijengee ustahimilivu.

By | January 12, 2022
#SheriaYaLeo (73/366); Jijengee ustahimilivu. Safari ya kuelekea kwenye ubobezi wa hali ya juu na mafanikio makubwa siyo rahisi. Kadiri unavyokwenda ndivyo inataka zaidi kutoka kwako, ikitaka muda wako na juhudi zako zaidi na zaidi. Hilo huwachosha wengi na kuamua kuishia njiani, maana hujikuta wanaishiwa nguvu na kuchoka sana. Kama wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz