2570; Rahisi ni ghali, mbaya na ngumu.

By | January 13, 2022
2570; Rahisi ni ghali, mbaya na ngumu. Unapokuwa njia panda na hajui njia ipi uchukue kati ya njia zilizo mbele yako, kama kuna njia rahisi na ngumu, mara zote chukua njia ngumu. Kwenye safari ya mafanikio, rahisi ni ghali, mbaya na ngumu. Rahisi ni ghali kwa sababu haina ubora mkubwa,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz