2571; Machache kabla ya mengi.

By | January 14, 2022
2571; Machache kabla ya mengi. Mawazo unayoweza kuyafanyia kazi ni mengi. Fursa unazoweza kunufaika nazo ni chungu mzima. Lakini kuna ukomo wa rasilimali muhimu kama muda, nguvu na fedha. Ukomo huo unakutaka uweke vizuri vipaumbele vyako ili uweze kuzitumia rasilimali hizo vizuri. Lakini wengi wamekuwa wanashindwa na hilo, wanashindwa kuweka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz