2579; Mpaka uelewe.

By | January 22, 2022
2579; Mpaka uelewe. Upo usemi wa Kiswahili kwamba asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Unaweza kupata maana mbalimbali kwenye usemi huo, lakini kuna maana moja nimeona ina nguvu kubwa sana. Iko hivi, mtoto anapokosea, mzazi humwadhibu. Kama mtoto ataendelea kukosea, mzazi hawezi kuendelea kumwadhibu, atafika mahali na kumwonea huruma. Na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz