#SheriaYaLeo (83/366); Sikiliza Kuvurugwa Kwako.

By | January 22, 2022
#SheriaYaLeo (83/366); Sikiliza Kuvurugwa Kwako. Kwa chochote unachofanya, huwa unaanza na hamasa na msukumo mkubwa, ambao unakuwezesha kufanya kitu hicho kwa muda bila kuchoka. Lakini baada ya muda unajikuta kwenye hali ya kuvurugwa, ambapo unakutana na mkwamo mkubwa na ugumu mkubwa wa kuendelea. Huo ndiyo wakati wenye fursa nzuri, kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz