2580; Ngoma Droo.

By | January 23, 2022
2580; Ngoma Droo. Kwenye wimbo wake wa Bongo Dar es Salaam, msanii Profesa Jay aliimba mashairi haya; “Aliyeuziwa cheni katoa hela bandia, Aliyepokea hela nae kauza cheni ya bandia. Tuliozoea jiji tunasema ngoma droo.” Kuna ngoma droo nimekuwa naiona kwenye upande wa safari ya mafanikio, ambayo kama mtu hutaweza kuivunja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz