#SheriaYaLeo (84/366); Akili kama msuli.

By | January 23, 2022
#SheriaYaLeo (84/366); Akili kama msuli. Akili zetu huwa zipo kama msuli. Msuli unapotumika unakua na kuimarika. Na msuli usipotumika unasinyaa na kuwa dhaifu. Akili ikitumika inakua na kuimarika na isipotumika inasinyaa na kuwa dhaifu. Kinachofanya akili isinyae isipotumika ni mambo mawili. Moja ni kupenda mazoea. Tukishakuwa na fikra au njia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz