2581; Ujuaji mwingi.

By | January 24, 2022
2581; Ujuaji mwingi. Hakuna kikwazo kikubwa kwenye safari ya mafanikio kama ujuaji mwingi. Ukishaanza kujiambia tu kwamba tayari unajua vitu fulani hivyo huna haja ya kujifunza tena au kuzingatia, jua umeanza kuanguka. Ukishaona unajua kila kitu na huna kipya cha kujifunza, jua anguko lako halipo mbali. Katika zama hizi za

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz