MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (85/366); Jenga uwezo wa kupokea usiyokubaliana nayo.
#SheriaYaLeo (85/366); Jenga uwezo wa kupokea usiyokubaliana nayo. Ni kawaida kwetu binadamu tukishajenga mazoea fulani ndiyo huwa tunaendelea nayo. Tunaona hiyo ndiyo namna sahihi ya kufanya kitu husika. Pale tunapokutana na namna ya tofauti na tulivyozoea, huwa tunaikosoa na kuipinga kwamba siyo sahihi. Tunatetea namna yetu kwa kuona ndiyo sahihi