2582; Nafasi ya kujua ujinga wako.

By | January 25, 2022
2582; Nafasi ya kujua ujinga wako. Bradley Sugars kwenye kitabu cha Billionaire in Training anashirikisha nukuu inayosema; watu wengi huwa wanafikiri mabosi wao ni wajinga, mpaka pale wanapokuja kuwa mabosi wao wenyewe. Ni rahisi sana unapoona mtu mwenye nafasi fulani anakosea kwa maamuzi anayokuwa anafanya. Lakini unapokuja kuwa kwenye nafasi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz