#SheriaYaLeo (87/366); Nguvu ya kuzama kwenye ufanyaji.

By | January 26, 2022
#SheriaYaLeo (87/366); Nguvu ya kuzama kwenye ufanyaji. Ugumu mkubwa uliopo kwenye safari ya ubobezi ni muda mrefu unaohitajika kwenye kufanya kile ulichochagua kufanya. Huku pia ukiwa unashawishiwa na tamaa mbalimbali za vitu vinavyoweza kuwa na manufaa ya muda mfupi ila siyo ya muda mrefu. Unalazimika ujitoe kweli kweli na utoe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz