MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2584; Nyama zipo chini.
2584; Nyama zipo chini. Maisha ni kama kunywa mtori, Haijalishi utautikisa vipi, Nyama utazikuta chini. Ni lazima uunywe mtori wenyewe kwanza ndiyo uweze kuzifikia nyama. Mtori ndiyo maisha yetu ya kila siku na nyama ndiyo kile tunachokitaka. Watu wengi huhangaika na njia za mkato za kupata wanachotaka. Lakini huishia kupoteza