MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (88/366); Nenda zaidi ya akili.
#SheriaYaLeo (88/366); Nenda zaidi ya akili. Wakati wa kuanza kufanya kitu, mtu anatumia zaidi akili kufikiri na kufanya. Hilo linapelekea mtu kufanya kwa namna ambayo wengine pia wanafanya. Ni baada ya kufikia ubobezi wa hali ya juu ndiyo mtu anakuwa amezama kweli kwenye kile anachofanya, kiasi kwamba ufanyaji unakuwa sehemu