#SheriaYaLeo (92/366); Usimzidi Bosi Wako.

By | January 31, 2022
#SheriaYaLeo (92/366); Usimzidi Bosi Wako. Sisi binadamu huwa tuna tabia ya wivu na kutokujiamini. Pale mtu mwingine anapofanya vizuri kuliko sisi tunaona anapata fursa nyingi na nzuri zaidi. Unapojihusisha na watu wengine, hupaswi kujali sana kuhusu hilo, wewe pambana kuwa bora na kuzalisha matokeo makubwa. Lakini inapokuja kwa bosi wako,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz