MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (93/366); Mfanye bosi wako ajione yuko juu zaidi.
#SheriaYaLeo (93/366); Mfanye bosi wako ajione yuko juu zaidi. Katika kujenga ubobezi na kufanya makubwa, kuna watu ambao wako juu yako, ambao wana nguvu fulani kwenye hatua unazotaka kupiga. Kitendo tu cha wewe kufanya makubwa, kinawaweka wao kwenye hatari, kwa kuwafanya wajione hawana umuhimu kwako.Hilo litaibua hisia mbaya kwao na