2591; Hakuna jipya.

By | February 3, 2022
2591; Hakuna jipya. Sisi binadamu wakati mwingine huwa tunashangaza sana. Tunapenda kufanya vitu kwa mazoea, lakini inapokuja kwenye kufanikiwa, tunapenda vitu vipya vipya. Kufanya kitu kile kile kwa kurudia rudia na kwa muda mrefu huwa inawachosha wengi. Wanakimbilia kutafuta vitu vipya vya kufanya, ambavyo vinawasisikua kwa upya wake, lakini haviwi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz