MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (96/366); Jijenge Upya Kitabia.
#SheriaYaLeo (96/366); Jijenge Upya Kitabia. Tabia ulizonazo na vile watu wanavyokuchukulia siyo kilema ambacho hakiwezi kubadilishwa. Una nguvu ya kujijenga upya kitabia ili uweze kupata nguvu na madaraka ya kufika kule unakotaka kufika. Mara nyingi tabia unazokuwa nazo na vile watu wanavyokuchukulia inakuwa kikwazo kikubwa kwako kufika kule unakotaka kufika.