#SheriaYaLeo (97/366); Jifanye mjinga.

By | February 5, 2022
#SheriaYaLeo (97/366); Jifanye mjinga. Kama lengo lako ni kufika ngazi za juu kabisa na kwa sasa uko ngazi za chini, kujionyesha kwamba ni mjuaji hakutakusaidia. Zaidi kutakuwa kikwazo kwako, kwani wale walio juu watakuona wewe ni hatari kwao na kutumia kila njia kukuzuia usipande juu. Lakini ukijifanya mjinga, walio juu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz