MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (98/366); Usiwe mkosoaji na mkatishaji tamaa.
#SheriaYaLeo (98/366); Usiwe mkosoaji na mkatishaji tamaa. Kwa wale unaoshirikiana nao, onyesha kukubali kazi zao. Usiwe mtu wa kukosoa na kuwakatisha tamaa wengine kwenye kila kitu. Kwani hilo litakujengea sifa mbaya na wengi watakuwa wanakukwepa. Hilo litaathiri ushirikiano wako na wengine na kuathiri kazi zako pia. Kadiri unavyokuwa mkosoaji na