#SheriaYaLeo (99/366); Tawala hisia zako.

By | February 7, 2022
#SheriaYaLeo (99/366); Tawala hisia zako. Watu wenye hasira huwa wanaishia kudharauliwa na kuonekana hawana maana kwa sababu hisia zao huwa haziendani na kile kilichotokea. Hasira huwafanya watu wafanye mambo ambayo baadaye huja kuyajutia. Wanayapa mambo uzito uliopitiliza na hatimaye kujibu kwa kupitiliza. Wengi huona hasira ni sifa na kiashiria cha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz