2596; Ushindi wa kijinga.

By | February 8, 2022
2596; Ushindi wa kijinga. Mtu amekukanyaga na wewe ukaamua kumkanyaga ili kulipa hilo. Swali ni je kumkanyaga kwako kumesaidia kumefuta kukukanyaga kwake? Mtu amekutukana na wewe ukamtukana. Je tusi lako limefuta tusi lake? Mbwa amekubwekea na wewe ukambwekea. Nani ataonekana ana tatizo hapo? Sisi binadamu huwa tunapenda ushindi kwenye maisha.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz