MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2597; Ubaya wa vitu vizuri.
2597; Ubaya wa vitu vizuri. Huwa kuna kauli inasema kila kitu kizuri kwenye maisha huwa kinyume na sheria, hakiendani na maadili au siyo kizuri kiafya. Na hiyo ni kwa sababu moja kubwa, sisi binadamu huwa tuna tabia ya kufanya vitu kupitiliza. Kitu kinapokuwa kizuri au kitamu, basi tunashindwa kujidhibiti katika