#SheriaYaLeo (101/366); Usiongee sana.

By | February 9, 2022
#SheriaYaLeo (101/366); Usiongee sana. Unapotaka kuwashawishi watu kwa kutumia maneno, kadiri unavyoongea sana ndiyo unavyoonekana wa kawaida na kukosa udhibiti. Kadiri unavyoongea sana ndivyo unavyojiweka kwenye hatari ya kuongea kitu cha kijinga. Pia kwa kuongea sana watu wanakuzoea na kuona ni mtu wa maneno tu. Kwa kuongea sana unatabirika kirahisi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz