#SheriaYaLeo (102/366); Kupata Unachotaka, Wape watu kile wanachotaka.

By | February 10, 2022
#SheriaYaLeo (102/366); Kupata Unachotaka, Wape watu kile wanachotaka. Katika safari yako ya mafanikio, kuna mengi unayoyahitaji kutoka kwa watu wengine. Hapo ndipo wengi huwa wanajisahau na kudhani watu wana wajibu wa kuwapa kile wanachotaka. Lakini hivyo sivyo binadamu tulivyo. Sisi binadamu ni wabinafsi, huwa tunajali zaidi mambo yetu kuliko mambo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz