2599; Mafanikio ni usumbufu.

By | February 11, 2022
2599; Mafanikio ni usumbufu. Unaweza kushtuka kidogo hapo, iweje mafanikio ni usumbufu wakati ndiyo kitu tunachofundishana hapa kila siku? Na nikuambie tu, hicho ni kitu ambacho wengi huwa hawakijui mpaka pale wanapofanikiwa. Na kutokujua hilo, huwa ndiyo chanzo cha anguko lao. Mafanikio huwa yanavuta kwako fursa zaidi na pia usumbufu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz