#SheriaYaLeo (103/366); Watumie Maadui Zako.

By | February 11, 2022
#SheriaYaLeo (103/366); Watumie Maadui Zako. Haijalishi unafanya nini, kuna watu ambao hawatakubaliana na wewe. Watakuona ni mbaya, hufai na watatangaza uadui na wewe. Kwa hali ya kawaida ya kibinadamu na wewe utasukumwa kutangaza nao uadui. Ila jua kufanya hivyo hakuna manufaa kwako au kwao. Mtasumbuana bila ya kuwa na manufaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz