2600; Ni bora ujue mapema.

By | February 12, 2022
2600; Ni bora ujue mapema. Kama kitu hakitafanya kazi au hakitakufaa, ni bora ujue mapema kuliko uendelee kupoteza muda. Kama kitu hakiwezi kuhimili msongo mkubwa ambao kinaweza kukutana nao, ni bora ujue mapema kabla ya msongo huo. Hivyo mara zote jua ukweli na kuwa mkweli na kijaribu kila kitu kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz