#SheriaYaLeo (104/366); Bora kushambuliwa kuliko kupuuzwa.

By | February 12, 2022
#SheriaYaLeo (104/366); Bora kushambuliwa kuliko kupuuzwa. Kwenye safari yako ya mafanikio, unapaswa kujijengea sifa fulani ambazo zinakutofautisha na watu wengine. Ujiwekee viwango ambavyo kila wakati utajisukuma kujifikia. Hilo unapaswa kuliweka wazi kwa watu wote, ili wajue unasimamia upande upi na wategemee nini kwako. Kufanya hivyo kutawafanya baadhi ya watu wasifurahishwe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz