MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2601; Nia njema.
2601; Nia njema. Maovu mengi huwa yanaanza na nia njema, ambayo inawahadaa watu wasione uhalisia mpaka mambo yanapokuja kuwa mabaya. Makosa mengi huwa yanatokana na nia njema inayowafanya watu wapuuze taratibu mbalimbali na hivyo kuzalisha makosa hayo. Nia njema ni nzuri, lakini kwa tabia yetu sisi binadamu kama viumbe wa