MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (105/366); Ione dunia kama hekalu lililoungana.
#SheriaYaLeo (105/366); Ione dunia kama hekalu lililoungana. Dunia ni hatari na maadui wako kila mahali. Siyo kila mtu anakutakia mema. Na kadiri unavyopambana kufanikiwa, ndivyo unavyotengeneza maadui wengi zaidi. Hilo linaweza kukufanya ujitenge na watu na kuamua kufanya mambo yako kivyako. Utadhani kufanya hivyo kunawanyima maadui zako fursa ya kukudhuru.