2602; Udhaifu wa watu.

By | February 14, 2022
2602; Udhaifu wa watu. Sisi kama binadamu kwa ujumla, huwa tuna madhaifu yetu mengi. Mfano kushindwa kufikiri kwa usahihi pale hisia zinapokuwa kali. Au hitaji la kuwa ndani ya kundi na hivyo kufuata mkumbo. Na kwa kufuata mkumbo, mtu anaweza kufanya vitu ambavyo peke yake asingekuwa tayari kufanya. Kuna watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz