2603; Mbona kila mtu anafanya?

By | February 15, 2022
2603; Mbona kila mtu anafanya? Uzuri wa ukweli ni kwamba huwa haujali watu wanauchukuliaje. Ukweli huwa hautumii nguvu kuwalazimisha watu wakubaliane nao. Bali huwa unabaki kuwa ukweli. Uongo huwa unatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha kwamba unakubalika. Unakimbilia kuwateka wengi ukijua wengi ni sehemu nzuri ya kujificha na kukubalika zaidi. Ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz