MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (107/366); Usichukue upande wowote.
#SheriaYaLeo (107/366); Usichukue upande wowote. Sisi binadamu kama viumbe wa kijamii, huwa tunapenda kuwa ndani ya kundi na hivyo huwa tunakimbilia kuchukua upande fulani katika pande zinazokuwepo. Lakini hilo huishia kukunyima wewe nguvu na fursa za kufanya makubwa zaidi. Unapochukua upande mmoja na watu wakaona wanakumiliki, wanakuchukulia kawaida. Unakuwa mtumwa